Last_Joker
Senior Member
- Nov 23, 2018
- 174
- 261
Za mpunga kwasasa sina kiongoziPumba za mpunga unazo? Na unauzaje kwa zile laini na rafu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Za mpunga kwasasa sina kiongoziPumba za mpunga unazo? Na unauzaje kwa zile laini na rafu?
Hii bei bado ipo hivi hivi mpaka sasa? na ni pumba mbichi ama kavu?mjini
hapa hapa,kwa 1500 kwa debe
Hapana,kwa sasa ni 2000Hii bei bado ipo hivi hivi mpaka sasa? na ni pumba mbichi ama kavu?
Sawa broHapana,kwa sasa ni 2000
Kavu