Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekata Tamaa milioni 200 +Ni biashara nzuri,lkn sijui unataka ufanye Kwa scale ipi?(1)kama kuuza mfuko mmoja mmoja wa sukari Kwa wafanyabiashara wa rejareja (2) kuuza jumla Kwa wafanyabiashara wakubwa wanaoenda kuuza Tena Kwa warejareja.Scale ya kwanza lazima iwe mixer na bidhaa zingine kama sabuni,mafuta,ngano na Si sukari pekee na pia mtaji wa sukari hauwi mkubwa sana kwani ,Kwa scale ya pili,kwanza inahitaji uwe agent au sub agent wa wazalishaji wa sukari,pia inahitaji kuwa na mtaji mkubwa sana kwani unaweza ukaspecialize ktk sukari pekee na ukapiga pesa,mathlani uwe na uwezo wa kuleta Tani 10 ya sukari ambayo Kwa bei ya Sasa Si chini ya mil.230.kila la heli mkuu
Vijiji gani hivyo?Kama ni maeneo ya mjini sawa ilaa.....kama ni maeneo ya vijijini sukari sio issue sana, wao asubuhi ni mwendo wa ugali mkubwa baaaassi!!!
Mkuu tani 10 kwa 230M sidhani kama ni sahihi,maana tani 10 ni sawa na kilo 10000 ambapo kwa mtaani bei ya rejareja kilo inakadiriwa inauzwa 3000/= ambayo kwa hizo tani 10 ni sawa na 30M.Ni biashara nzuri,lkn sijui unataka ufanye Kwa scale ipi?(1)kama kuuza mfuko mmoja mmoja wa sukari Kwa wafanyabiashara wa rejareja (2) kuuza jumla Kwa wafanyabiashara wakubwa wanaoenda kuuza Tena Kwa warejareja.Scale ya kwanza lazima iwe mixer na bidhaa zingine kama sabuni,mafuta,ngano na Si sukari pekee na pia mtaji wa sukari hauwi mkubwa sana kwani ,Kwa scale ya pili,kwanza inahitaji uwe agent au sub agent wa wazalishaji wa sukari,pia inahitaji kuwa na mtaji mkubwa sana kwani unaweza ukaspecialize ktk sukari pekee na ukapiga pesa,mathlani uwe na uwezo wa kuleta Tani 10 ya sukari ambayo Kwa bei ya Sasa Si chini ya mil.230.kila la heli mkuu
Mkuu tani 10 kwa 230M sidhani kama ni sahihi,maana tani 10 ni sawa na kilo 10000 ambapo kwa mtaani bei ya rejareja kilo inakadiriwa inauzwa 3000/= ambayo kwa hizo tani 10 ni sawa na 30M.
Hapo mbona hesabu inagoma tani 10 ni sawa na kilo elfu kumi na mtaani kilo tunanunua elfu tatu sasa 10,000x3,000 ni milioni 30.Labda kama alimaanisha tani 100.Jamaa yuko sahihi kabisa tani 10 mtaji wake ni milioni 230+, sasa sijui hiyo 30m umeipataje? au hujui bei ya mfuko wa sukari?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini usiuze chumvi? Halafu badala ya sukari ukawa unauza jwisi ya miwa?Wandugu habari za siku,
Ninafikiria kufungua biashara ya kuuza sukari kwa jumla, naamini ni bidhaa inayotumiwa na watu wengi kila siku na uhitaji wake hauna shaka, kwa yeyote mwenye ufahamu au anayejuwa changamoto zake naomba mawazo yenu.