Nahitaji kufanya Booking fastjet au kampuni yoyote ya ndege yenye bei nafuu

Nahitaji kufanya Booking fastjet au kampuni yoyote ya ndege yenye bei nafuu

Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
3,613
Reaction score
5,139
Habari wakuu, nahitaji kufanya booking ya fastjet au kampuni yoyote nafuu kwa safari ya April mwakani Mungu akipenda from dar to Mbeya.
Nataka ni book mapema nilisikia ukibook mapema zaidi garama huwa ndogo sana, so naomba munisaidie ushauri na namna ya kubook online pamoja na gharama yake kwa wanaojua tafadhali. Asante.
 
Nimejaribu kufanya booking kama ulivyosema,nimetest ya tarehe 5/4/2019,one way Mbeya-Dar

Ndege iliyopatikana ni ya kutoka Mbeya saa 15:15 kufika 16:35 gharama ni tsh 198,910.

Is that cheap?Inategemea na wewe ulifikiria bei ita range from kiasi gani to kiasi gani.

Ingia fastjet.com then tafuta sehemu ya booking ujaribu mkuu.
 
Asante sana mkuu, ngoja niingie nijaribu kuangalia zaidi, na je kwa hizi ndege zetu za magufuli gharama ni hyo hyo?
 
Back
Top Bottom