Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,139
Asante sana mkuu, ngoja niingie nijaribu kuangalia zaidi, na je kwa hizi ndege zetu za magufuli gharama ni hyo hyo?Nimejaribu kufanya booking kama ulivyosema,nimetest ya tarehe 5/4/2019,one way Mbeya-Dar
Ndege iliyopatikana ni ya kutoka Mbeya saa 15:15 kufika 16:35 gharama ni tsh 198,910.
Is that cheap?Inategemea na wewe ulifikiria bei ita range from kiasi gani to kiasi gani.
Ingia fastjet.com then tafuta sehemu ya booking ujaribu mkuu.
Nimecheki Atcl kwa tarehe hio hio inakuja Tsh.184,870Asante sana mkuu, ngoja niingie nijaribu kuangalia zaidi, na je kwa hizi ndege zetu za magufuli gharama ni hyo hyo?
Asante mkuu, japo bado ni parefu coz nilisikia kuwa ukiwahi mapema ni around 85Nimecheki Atcl kwa tarehe hio hio inakuja Tsh.184,870