gidume
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 743
- 915
Wakuu poleni na mihangaiko..
Katika pita pita zangu mitandaoni nimevutiwa sana na kitu alichofanya mak juice pale alipo..Najua tu ni dar es salaam ila sijui ni wapi ila napenda jinsi idea yake ilivyo na shughuli anazofanya ko nimekua interested nimependa nifanye kitu kama kile mkoani nilipo..
Eneo potential lipo sema nahitaji mawazo kidogo kwa sababu sikuwahi kwenda na kila nikija dar nakua sikumbuki kama nnahitaji kupafahamu apo mak juice so nashindwa kusoma kinachohitajika haswa ni nini ili niweze daka watu na kusoma muundo na kama biashara ya namna ile ni attractive kiuchumi..na mm nimeijua sbb ya mitandao tu ya kijamii..
Kwa sababu huwa napenda sana mambo ya vinywaji na nna interest na busn kama hizo Naomba mwenye uzoefu wa ile eneo anipe mwongozo nione kama naweza nikaendelea na wazo langu au la..
Nakaribisha mawazo endelevu.
Asanteni.