Nahitaji kufanya kitu kama cha MAK JUICE mkoani

gidume

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
743
Reaction score
915
Wakuu poleni na mihangaiko..
Katika pita pita zangu mitandaoni nimevutiwa sana na kitu alichofanya mak juice pale alipo..Najua tu ni dar es salaam ila sijui ni wapi ila napenda jinsi idea yake ilivyo na shughuli anazofanya ko nimekua interested nimependa nifanye kitu kama kile mkoani nilipo..

Eneo potential lipo sema nahitaji mawazo kidogo kwa sababu sikuwahi kwenda na kila nikija dar nakua sikumbuki kama nnahitaji kupafahamu apo mak juice so nashindwa kusoma kinachohitajika haswa ni nini ili niweze daka watu na kusoma muundo na kama biashara ya namna ile ni attractive kiuchumi..na mm nimeijua sbb ya mitandao tu ya kijamii..

Kwa sababu huwa napenda sana mambo ya vinywaji na nna interest na busn kama hizo Naomba mwenye uzoefu wa ile eneo anipe mwongozo nione kama naweza nikaendelea na wazo langu au la..

Nakaribisha mawazo endelevu.

Asanteni.
 
mimi binafsi simwamini Mac juice sana kwa ule usanii pale. ila kama unataka ukafanye mkoani hakikisha tu umefanya utafiti wa kitosha na kujihakikishia soko la uhakika kwa kufungua sehemu kwenye wateja wengi
 
Asante kwa mwongozo mkuu..naenda next week nikavisit..
 
Apo sasa sisi wa mikoan tutaielewaje hyo Mac juice ulivyoielezea kifupi hvyo ili tukushaur
Mak juice ni point flan ivi dar juna jamaa amefanya design nzuri anafanya biashara ya kuuza varieties ya juices..clean n neat juice kwa watu wa levels..not high level but the quality of juice shows..so ana tek away zake designed..anapiga ela mdo mdo..kwa huduma nyingine kama msoc cdhani kama anaprovide me nimeona juices nikapenda..varieties zake nyingi na anatengeneza vzuri nimependa..
 
mimi binafsi simwamini Mac juice sana kwa ule usanii pale. ila kama unataka ukafanye mkoani hakikisha tu umefanya utafiti wa kitosha na kujihakikishia soko la uhakika kwa kufungua sehemu kwenye wateja wengi
Then kwann usanii mkuu.tueleweshane kdgo
 
Mark yko Vizuri Mkuu hata ukifatilia historia yake utakuwa inspired. .achna nae huyo anamuita mwenzake msanii .
humu ndani watu wana chuki. .
kama uko serious kweli nenda pale sinza kwa mwana ukiomba ushauri atakupa Vizuri tu.
Kuna dogo nilisoma nae advance naye anapiga kitu kama hiyo mbeya .
Ingia instA cheki Chibofreshi
 
Mak juice ni point flan ivi dar juna jamaa amefanya design nzuri anafanya biashara ya kuuza varieties ya juices..clean n neat juice kwa watu wa levels..not high level but the quality of juice shows..so ana tek away zake designed..anapiga ela mdo mdo..kwa huduma nyingine kama msoc cdhani kama anaprovide me nimeona juices nikapenda..varieties zake nyingi na anatengeneza vzuri nimependa..
Ahaa soma huu uzi pia utapata kitu
Naomba Mawazo: Biashara ya Kuuza Fresh Juice
 
Mark yko Vizuri Mkuu hata ukifatilia historia yake utakuwa inspired. .achna nae huyo anamuita mwenzake msanii .
humu ndani watu wana chuki. .
kama uko serious kweli nenda pale sinza kwa mwana ukiomba ushauri atakupa Vizuri tu.
Kuna dogo nilisoma nae advance naye anapiga kitu kama hiyo mbeya .
Ingia instA cheki Chibofreshi
Asante sana mkuu for the info..nashkuru aisee.
 
mimi binafsi simwamini Mac juice sana kwa ule usanii pale. ila kama unataka ukafanye mkoani hakikisha tu umefanya utafiti wa kitosha na kujihakikishia soko la uhakika kwa kufungua sehemu kwenye wateja wengi
Mark nimesoma nae naomba umuamini , jamaa ni mchakarikaji kweli hata hiyo ofisi yake ya Sinza africasana alianza nayo kwa hali ya chini sana mpaka kufika hapo
 
Fungua mak uji kwa wamikoani hawaja zoea vitu vilaini
 
Mnapenda vitu laini, ndio maana hamuwezi ata kukamua kila week madem zenu wanakuja mikoani tuwasaidie kazi..
 
Mak juice ni point flan ivi dar juna jamaa amefanya design nzuri anafanya biashara ya kuuza varieties ya juices..clean n neat juice kwa watu wa levels..not high level but the quality of juice shows..so ana tek away zake designed..anapiga ela mdo mdo..kwa huduma nyingine kama msoc cdhani kama anaprovide me nimeona juices nikapenda..varieties zake nyingi na anatengeneza vzuri nimependa..
Hivi glass moja ya juice huwa anauza kwa sh ngap?
 
Back
Top Bottom