Nahitaji kufanya mabadiliko

Nahitaji kufanya mabadiliko

Otto Mendez

Member
Joined
May 1, 2017
Posts
50
Reaction score
13
Wasalaam wana jf

Nahitaji kujua gharama za kufanya mabadiliko kwenye kampuni yangu kama yafuatayo kumtoa director na kumuingiza director mpya,kubadilisha mwenyekiti na address, kubadilisha umilikaji(Hisa) na kubadilisha jina la kati kati ila la mwanzo kubakia. Je documents gani zinahitajika na inachukua muda gani?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom