Nahitaji kufanya manunuzi online ila sanduku la posta ndo tatizo

Nahitaji kufanya manunuzi online ila sanduku la posta ndo tatizo

Jovanny hm

Member
Joined
Jun 5, 2019
Posts
31
Reaction score
25
Habari zenu humu ndani,
nahitaji kufanya manunuzi online ila sanduku la posta ndo tatizo, nimejaribu kufuatilia nyuzi kazaa zinazohusiana na manunuzi online, nikaona kuna uwezekano wa kuagiza bila box kwa kuweka namba ya simu na mzigo ukifika posta wanakujulisha. Naomba kwa anayejua charges za TRA kwa vitu vidogo kama simu,flash,memory card etc anijuze,
 
ninavyojua kupata mzgo bila sanduku inawezekana, ila hayo makato kwa vitu kamahivyo, subiri waliowahi kufanya manunuzi hayo
 
Wadau mjuzeni mwenzetu.. maana hata mimi kuna vitu nimeagiza kwa mara ya kwanza online Kikuu shopping viko njiani na sijui charges nyingine
 
Habari zenu humu ndani,
nahitaji kufanya manunuzi online ila sanduku la posta ndo tatizo, nimejaribu kufuatilia nyuzi kazaa zinazohusiana na manunuzi online, nikaona kuna uwezekano wa kuagiza bila box kwa kuweka namba ya simu na mzigo ukifika posta wanakujulisha. Naomba kwa anayejua charges za TRA kwa vitu vidogo kama simu,flash,memory card etc anijuze,
Ili kupokea mzigo wako posta kuna ile karatasi wanaiacha kwenye box uliloagizia hivyo ni muhimu kuwa na box. Kama wewe hauna box omba la ndugu/rafiki na kama ikishindikana omba hata la kanisani/msikitini kwako na uwasiliane na anayehusika na ufunguo wa posta ili mzigo wako ukifika iwe rahisi kuufwatilia.
 
mkuu box unaweza weka hata la jamaa yako ila si lazima na mzigo utakufikia, ukifika posta unaweza ulizia pale kwa watu wa TRA then wanakupa kilakimoja kinatozwa kodi kiasi gani mfano 18% ama zaidi ya % hizo na si mizigo yote hukatwa kodi, mfano saa hazina kodi, na baadhi ya vitu vingine vidogo dogo visivyo vya thamani kubwa
 
Hello wadau wajuz wa haya mambo naomba na mm nipate hii elim tafadhali, hasa site za kuagiza bidhaa mbalimbal na process yake plz........ Wakat nikiendelea kutafuta nyuz za mambo haya
 
Kodi zao hao jamaa hutegemea na watakavyoamka na mihemko wakati wanakukadiria.Usiombe mzigo wako uwe umetoka USA,watakupiga mpaka ukome kuagiza.
 
Back
Top Bottom