Jovanny hm
Member
- Jun 5, 2019
- 31
- 25
ninavyojua kupata mzgo bila sanduku inawezekana, ila hayo makato kwa vitu kamahivyo, subiri waliowahi kufanya manunuzi hayoHabari zenu humu ndani,
nahitaji kufanya manunuzi online ila sanduku la posta ndo tatizo, nimejaribu kufuatilia nyuzi kazaa zinazohusiana na manunuzi online, nikaona kuna uwezekano wa kuagiza bila box kwa kuweka namba ya simu na mzigo ukifika posta wanakujulisha. Naomba kwa anayejua charges za TRA kwa vitu vidogo kama simu,flash,memory card etc anijuze,
Ili kupokea mzigo wako posta kuna ile karatasi wanaiacha kwenye box uliloagizia hivyo ni muhimu kuwa na box. Kama wewe hauna box omba la ndugu/rafiki na kama ikishindikana omba hata la kanisani/msikitini kwako na uwasiliane na anayehusika na ufunguo wa posta ili mzigo wako ukifika iwe rahisi kuufwatilia.Habari zenu humu ndani,