Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu nahitaji kufanya hiyo operation husika napata maumivu ya hatari,Ni hospital gani yenye watu makini katika Hilo swala?
Nitafutie link ya hizo dawaNahisi ungejaribu dawa hasa za asili/ki sunnah kuliko operation. Maana nasikia operation inaondoa tatizo kwa muda tu.
Wengi waliopona ni kwa dawa za asili.
Muongo.Watu kila siku wanapona bawasiri kwa dawa za asili.wajuvi eeh... hivi kupona kabisa after hio operation huchukua muda gani?!
maana nmetumia kila aina ya dawa za asili ila matokeo hamna
Vp kaka ulifanikiwa kupona?Wakuu nahitaji kufanya hiyo operation husika napata maumivu ya hatari.
Ni hospital gani yenye watu makini katika Hilo suala?