Nahitaji kufuata bidhaa China naomba kujuzwa mambo haya

SON OF THE LAND

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2015
Posts
204
Reaction score
210
Tafadhali wakuu kwa mtu aliewahi au ambae anafanya biashara ya kuingiza biashara toka china naomba anisaidie vitu kadhaa

1: Ni Miji au mji gani ndio vitu au bidhaa tofauti hupatikana kwa mfano; Laptop, simu e.t.c

2: Malazi kwa china kiasi gani kina cost, na kama kuna sehemu za bei nafuu naomba kujuzwa

3: Usafirishaji wa bidhaa inakuaje

4: Ubebaji wa pesa ni kwa njia ipi bank transfer au ipi?

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello
Mimi natuma bidhaa kwa bei ya jumla kutoka China. Huku ninasoma!

1. Guangzhou ndio mji unaopatikana kila kitu!!!
ILA kama unahitaji large quantities fuatilia viwanda vinavyojihusisha na bidhaa unayohitaji!
SHENZHEN pia ni mji ambao upo Guangdong, mkoa (province) moja na Guangzhou! Huu mji una electronics za kila aina kwa bei ya jumla!
FOSHAN utapata furniture aina zote unazotaka!!! Mashuka, mapazia!

2. Maradhi, unawaza kuumwa mkuu?? Sasa issue ya hospitals huku ni bei ghali, kwangu lakini! ILA sio kizuizi kikubwa! Labda kama unakuja kwa ajili ya matibabu.

Au unamaanisha MALAZI???
Hotels ni kwanzia 100-200RMB INATEGEMEA NA MSIMU! Msimu wa CANTON FAIR HUWA ZINAPANDA HASWA!

3. USAFIRISHWAJI WA BIDHAA
HUWA NINATUMIA SHIPPING LOGISITICS ZA WACHINA! Sio wazinguaji kama wabongo!
Silent Ocean mzigo ukipotea wananata sana! Na hukaa mpaka Miezi minne bandarini!!!
Mohka ndio wamekuwa wadananda, issues za usafiri ni kuwa makini sana!
 
Mkuu ubarikiwe sana umejibu kisomi kila kipengele, nitakucheki kwa mengi zaidi, asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kupata partners wa uhakika kutoka China, USA na Marekani, kama una kampuni na wewe ni mtoa maamuzi unaweza kujiunga https://www.lenkeer.com au unaweza kujiunga TCCIA ambao wanatoa expeditions
 
Unatafuta partner kutoka nje ya nchi? au unataka kuuza huduma/bidhaa zako ndani na nje ya nchi?
Basi, kutana na viongozi wa biashara wanaonadi biashara zao kupitia mtandao wa lenkeer.com.
Jiunge Bure sasa hii na upate nafasi ya kushida account VIP bure yenye thamani ya $200!
JIUNGE SASA NA USHINDE. https://www.lenkeer.com/register
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…