Nahitaji kufundishwa machine learning, artificial intelligence/robotics

Tumeanza kufundishwa artificial intelligence semester hii. Tunatumia hiki kitabu kipo vzr sana

Artificial Intelligence with Python
-Prateek Joshi

Kinaelezea vizuri sana na kila chapter kuna example programs kama mbili tatu na jinsi unavyoenda kila chapter inakua na project kubwa kubwa

Eg: * Building a movie recommendation system
  • Building a traffic prediction system
  • Building a robot controller

Freshi pia ukitafuta course moja ya udemy coz sometimes lugha ya kitabu inaeza ikawa ngumu kdg kuelewa but as you keep reading inakua rahisi tu
 
Nitaanzisha mada ya hii kitu soon.

Kwa sasa unaweza kukuta una install program fln inaitwa ANACONDA kwenye pc yako. Ina storage kubwa kdg so anza mapema. Hio ndio kama IDE kwenye huu ulimwengu.
anaconda Inaenda vyema sanaa na Python

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Tumeanza kufundishwa artificial intelligence semester hii. Tunatumia hiki kitabu kipo vzr sana

Artificial Intelligence with Python
-Prateek Joshi

Kinaelezea vizuri sana na kila chapter kuna example programs kama mbili tatu na jinsi unavyoenda kila chapter inakua na project kubwa kubwa

Eg: * Building a movie recommendation system
  • Building a traffic prediction system
  • Building a robot controller

Freshi pia ukitafuta course moja ya udemy coz sometimes lugha ya kitabu inaeza ikawa ngumu kdg kuelewa but as you keep reading inakua rahisi tu
Nna vitabu vingi sanaaaa na Course za Videos ambazo haziko YouTube kuna rafiki ktk kushare cost nnazo full yaani imeelezwa in n out

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu artficial intelligence ndani yake ndio kuna machine learning ndani
ya machine learning kuna deep learning ukiingia ndani unakutana na data science..
Nadhani ungesema unataka kusoma in and out ya artficial intelligence na robotics..
Kwa kuanzia ili atleast ukianza kuisoma usipate shida pitia statistics, probability, algebra, calculas
for artificial intelligence au computer science tafta vitabu vimejaa online ukihitaji pia naweza kupatia.
Ukishazielewa hizo topic ni rahisi kwakwo kuilewa AI vizuri bila changamoto.
Kama kuna changamoto endelea kuuliza kwa wadau hope utapata msaada japo hujaelezea una level gani katika
industry ya IT ushawahi kufanya coding au bado ili ushauri uwe relevant na mhusika.
Kuhusu robotics nitakupa ushauri siku nyingine kama ushauri wangu wa awali utakusaidia.
Kama utakuwa na changamoto usisite kuulza industry ya IT sio ya watu wa choyo naamin utasaidiwa.
honestly nilitaka jua kama watu wana interest n naweza meet a mentor humu ambaye ni Pro kunidhid.

Nna Electronics kichwani, nina telecommunication kichwani etc

nilianza piga C language,nikaanza furahia urahis wa Python, so nalitaka kwenda pro zaidi.
By the way uki integrate AI, na embedded system iwe smart zaidi italeta matokeo bomba sana, huwa naamin kila sehemu kuna mtu aliyekudhid exposure,uelewa na maarifa, ndio maana nikaja humu, Guru so
if uko na madini zaidi, karibu sana mkuuu

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Umeshamaliz complex prog
Complex prog ni nn, seven years in the game ila nasikia hio term leo

Humu wengi waongeaji tu hakuna llt.

Huyo anaeongelea maths sidhan hata kama kamaliza discrete mathematics na kuelewa, kama kamaliza aseme tumpe problem hapa a-solve
 
Nliongelea anaconda hapo juu, kwa AI, ML coder yyt haiepuki hio tool awe anatumia R au Python. Na Kumaster hio program ni first step kwenye kujifunza modern AI ML dev, lkn naona watu wanakomaa na maprofessa wao wanaotumia outdated syllabus

Ukitaka kuintegrate AI capability kwenye microcomputers au low end devices kuna tensorflow-lite ambapo yenyewe inachukua tu files za pre-trained model na kufanya kazi moja kwa moja.

Siku zote nachagua tensorflow coz hadi sasa hakuna ML framework yenye tools na capabilities kuizidi, my most favorite tool ni Tensorboard coz inakuonesha namna model yako ilivyokua ina-learn wakati wa training, utaona kama data zako zilikua zimechambuliwa na kupangwa vzr ili kufanya model ilearn deep zaidi.

Ukimaliza kujifunza tensorflow kama unataka kwenda deep zaidi kuhusu AI kwenye microcomputers na chips kasome kitu kinaitwa "CELLULAR AUTOMATA" (sio biology) lkn sio level ambayo kila mtu anaweza kufika
 
Mh! Will you be able to apply them in TZ au malengo yako ni globaly.
Soko lake lipoje ?
Usijejikuta unavhezea toys tu nyumbani zinakufurahisha mwenyewe. Hibi nyumbani TZ unaweza kupata infrastructure za kumdizaini robot mwanzo mwisho na uweze kumtumia kwa kazi zako ? Au ndio watu wanaishia kwenye duino! Kisha wanakua bored.
It depend na unataka kufanya nini, kila kitu kina application kila sehemu, sema upande wa electronics na embedded system designing ni mambo matatu muhimu yanatakiwa kufatana 1. Critical thinking, 2. Passion na 3. Mfukoni uwe vizuri. maana upande huu utofauti wake na software ni ukipata fault unaweza kufuta code zote ukaanza upya ni free japo muda umepotea ila huku kwetu fault ni vitu vimeharibika unanunua upya then ni muda umepotea + pesa + unapoteza na imani kama huna uhakika na unacho kifanya au ujui unataka nini. Karibu ulimwengu wetu uko vizuri sema hatuna pesa 😀😀😀😀 na consumer wa bongo sijui tu maana hawaelewekagi
 
It is for the sake of HOBY/PASSION not business ?
If that is true yes you can lean ML.
Of vourse ML is wide but can it be realized in TZ ?
Until today is there any home or office which has updated their machines to that smart technology ? If no do other job!
Au ndio ML yako itazalisha robot kama zile za BUNGENI ambepo kila mtanzania alizibeza.
Kitu cha kwanza wanasayansi wabongo wanatakiwa wafanye ni kuweka miundo mbinu ya hizo mambo kabla ya kuanzisha project za ML.
 
Nliongelea anaconda hapo juu, kwa AI, ML coder yyt haiepuki hio tool awe anatumia R au Python. Na Kumaster hio program ni first step kwenye kujifunza modern AI ML dev, lkn naona watu wanakomaa na maprofessa wao wanaotumia outdated syllabus

Ukitaka kuintegrate AI capability kwenye microcomputers au low end devices kuna tensorflow-lite ambapo yenyewe inachukua tu files za pre-trained model na kufanya kazi moja kwa moja.

Siku zote nachagua tensorflow coz hadi sasa hakuna ML framework yenye tools na capabilities kuizidi, my most favorite tool ni Tensorboard coz inakuonesha namna model yako ilivyokua ina-learn wakati wa training, utaona kama data zako zilikua zimechambuliwa na kupangwa vzr ili kufanya model ilearn deep zaidi.

Ukimaliza kujifunza tensorflow kama unataka kwenda deep zaidi kuhusu AI kwenye microcomputers na chips kasome kitu kinaitwa "CELLULAR AUTOMATA" (sio biology) lkn sio level ambayo kila mtu anaweza kufika
Wakati huu uzi unaandikwa CHATGPT NA GEMIN AU BARD zilikuwa hazijazinduliwa rasm nadhani kama bado muuliza swali hajajifunza, AI model ni mwalimu tosha. Anahitaji apate mentor tu.
Kibongo bongo itapita hata miaka 20 hatutaona AI model iliozaliwa TZ ikitokea basi mkanizike mzima mzima.
 
It depend na unataka kufanya nini, kila kitu kina application kila sehemu, sema upande wa electronics na embedded system designing ni mambo matatu muhimu yanatakiwa kufatana 1. Critical thinking, 2. Passion na 3. Mfukoni uwe vizuri. maana upande huu utofauti wake na software ni ukipata fault unaweza kufuta code zote ukaanza upya ni free japo muda umepotea ila huku kwetu fault ni vitu vimeharibika unanunua upya then ni muda umepotea + pesa + unapoteza na imani kama huna uhakika na unacho kifanya au ujui unataka nini. Karibu ulimwengu wetu uko vizuri sema hatuna pesa 😀😀😀😀 na consumer wa bongo sijui tu maana hawaelewekagi
Kuna mambo bongo haiwezekani labda uhamie ulaya.
Mfano quantum computing. Hio computa tu haipo, sasa utacompute computa ya nani?
 
Back
Top Bottom