Nahitaji kufundishwa mapishi

Nahitaji kufundishwa mapishi

Mkuu we ni mrembo sana hivyo kukuona ukiinama kuchukua sufuria then ukiinama kuchota maji mhhh in short kuvumilia hapo sitaweza
Itabidi uvumilie tu ustadhi kama unataka kula
Ayo mengine tutafanya badae [emoji5]
 
nimekujibu kwa PM Mkuu!! Tafadhali soma PM yangu nimeandika location yangu Mkuu!!
shukrani sana mkuu
Ukipata nijulishe na mie, napenda sana mapishi, hata ikiwa sehemu ya kulipia sawa.... Nadhani wapemba ni wapishi wazuri
Nifah idara hii haupo?
 
Back
Top Bottom