Nahitaji kufunga mziki kwenye gari yangu madza rx8

Nahitaji kufunga mziki kwenye gari yangu madza rx8

Wanaoelewa magar watakuambia ukweli kuwa hizi gar na uzur wake wa kuwa sport car jiandae kisaikolojia anytime anyday engine inasizi. Ila wengine watasema unaonewa wivu. Time is the best answer
 
Mzee kwa maisha ya Jf ni hatari kuacha alama zako (Pleti namba)

Sent using Jamii Forums mobile app
hatari mara nyingi kwa wale wa majukwaa ya siasa... lakini kama mtu ww ni wajukwaa la chit chit..jf garaje...MMU ..jf Doctor na majukwaa mengine ambayo nature yake haujadili maslahi ya watu hata ukitumia id ya kweli hakuna shida

ila kama tu unajijua huwa unajadili mada hasa sa kisiasa au zinazolenga direct maslahi ya watu ni hatari kutumia id yako au chochote kinachoweza kufanikisha kujulikana kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
From my experience (hata humu jf nilishaandika khs mazda rx8) hilo gari atakuja kujuta kulinunua though ni tamu sana ukilizoea na akija kuliuza atali miss pia sana.
 
Back
Top Bottom