Nahitaji kufungua import and export agency

Nahitaji kufungua import and export agency

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361
wadau naombeni ushauri kwa anayejua hii biashara, natakiwa kuwa na vitu gani ikiwa ni pamoja na vifaa fedha na kisheria ili kufungua biashara hii
 
Mtaji wa kutosha, sambamba na Usd 1000 kama pesa ya bondi TRA..

0716831663 nicheki hapa tupeane maelekezo
 
Back
Top Bottom