Nahitaji kufungua maabara ya afya kimbiji msaada

s8plus

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
74
Reaction score
25
Kama title inavyojieleza wadau, nataka kufungua maabara ya vipimo vya afya kwa kigamboni kimbiji. Je kuna anayefahamu sehemu yenye uhitaji wa huduma hii?
 
mkuu huduma ya afya inahitajika kila sehemu. wewe nenda tu
 
Wewe ushasema kimbiji unataka sehemu nyingine tena wakati kule hujafungua?
 
Wewe ushasema kimbiji unataka sehemu nyingine tena wakati kule hujafungua?
Sijasema sehemu nyingine mkuu naongelea huko huko kimbiji si kuna maeneo tofauti tofauti. Nikimaanisha mitaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…