Nahitaji kufungua mgahawa. Je, ni vitu gani vya kuzingatia ?

Nahitaji kufungua mgahawa. Je, ni vitu gani vya kuzingatia ?

Joined
Oct 14, 2017
Posts
84
Reaction score
51
Lengo la uzii huu ni kueleweshana juu ya biashara za migahawa, changamoto zake, na jinsi ya kuzitatua.

Na mpango wa kufungua mgahawa wa kuuza chakula naombeni ushauri wenu ni vipi vya kuzingatia zaidi. ASANTE
 
mi nilijua una mgahawa kumbe nawewe muuliza maswali

hutopata msaada sasa,unapokua hujui kitu jiweke kama Hujui
 
Lengo la uzii huu ni kueleweshana juu ya biashara za migahawa, changamoto zake, na jinsi ya kuzitatu. Na mpango wa kufungua mgahawa wa kuuza chakula naombeni ushauri wenu ni vipi vya kuzingatia zaidi. ASANTE

Wewe pia ujuwe kupika hata kidogo sio Kila kitu utegemea mpishi ulomuajiri kama upo serious na hiyo biashara sio unafungua tu ilimradi nawe uwonekane unabiashara utafeli my friend
 
Una hadhi gani huo mgahawa? Ni ule wa buku2 mtu anakula au ule wa akina McDonald?
 
Nipo mbioni kufungua, bado natafuta location kwa hapa DSM yeyote atakayepata au anayeuza location yake pamoja na vyombo if any, plz PM
 
Back
Top Bottom