kabagambe rubajuma
Member
- Oct 14, 2017
- 84
- 51
Ha ha ha ha mzeee hakuna anyejua kila kitu hata alijifanya anajua kila kitumi nilijua una mgahawa kumbe nawewe muuliza maswali
hutopata msaada sasa,unapokua hujui kitu jiweke kama Hujui
Lengo la uzii huu ni kueleweshana juu ya biashara za migahawa, changamoto zake, na jinsi ya kuzitatu. Na mpango wa kufungua mgahawa wa kuuza chakula naombeni ushauri wenu ni vipi vya kuzingatia zaidi. ASANTE
Thanx mkuuWewe pia ujuwe kupika hata kidogo sio Kila kitu utegemea mpishi ulomuajiri kama upo serious na hiyo biashara sio unafungua tu ilimradi nawe uwonekane unabiashara utafeli my friend
Wa hata buku mbili unakula boss
Morogoro maeneo ya msamu karibu na cho cha kislamuUpo maeneo gan?