Nahitaji kufungua NMB chap chap account

Nahitaji kufungua NMB chap chap account

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Habari za asubuhi wanajamii
Nahitaji kufungua nmb chap chap account je kwa pale bank nikienda watadai nini kingine tofauti na namba ya nida ili kuweza kunifungulia hiyo chap chap account
 
Habari za asubuhi wanajamii
Nahitaji kufungua nmb chap chap account je kwa pale bank nikienda watadai nini kingine tofauti na namba ya nida ili kuweza kunifungulia hiyo chap chap account
Andaa na kianzio kisichopungua 10,000tsh
 
Habari za asubuhi wanajamii
Nahitaji kufungua nmb chap chap account je kwa pale bank nikienda watadai nini kingine tofauti na namba ya nida ili kuweza kunifungulia hiyo chap chap account
Barua ya utambulisho toka serikali ya mtaa unàoishi, usije ukawa umepokea mgao wa Abdul toka kwa Mbowe.
 
0800002002
Piga hiyo namba yao ya bure, chagua option ya kuripoti uhalifu au kuibiwa utaongea na mtoa huduma muulize
 
Asante mkuu nimepiga, nimeambiwe niwe na namba ya Nida, passport size mbili, pamoja na Shilingi 10000 ila wamesema kama kadi zipo ntapatiwa hapo hapo ila kama hamna ntaambiwa lini nifate
 
Hii chap Chap si ndio Ina kikomo Cha kiasi Cha kutunza pesa.. Nasikia mwisho ni Tsh 5,000,000/=
 
Back
Top Bottom