mkuu hii biashara kama utakuwa makini itakutoa aisee mimi mwenyewe niko mbioni kuifanya kuna mambo mambo tu nayamailzia kila la kheri.Hello wana jf wenzangu. Nahitaji kufungua ofisi ya kutoa mikopo midogo midogo kwa wafanyabiashara waliopo mkoa naoishi. Je ni taratibu zipi natakiwa nifuate ili kukamilisha ofisi yangu bila kusumbuliwa na serikali na kuharibu sheria ya nchi yetu.
Riba haramuHello wana jf wenzangu. Nahitaji kufungua ofisi ya kutoa mikopo midogo midogo kwa wafanyabiashara waliopo mkoa naoishi. Je ni taratibu zipi natakiwa nifuate ili kukamilisha ofisi yangu bila kusumbuliwa na serikali na kuharibu sheria ya nchi yetu.
mkuu hii biashara kama utakuwa makini itakutoa aisee mimi mwenyewe niko mbioni kuifanya kuna mambo mambo tu nayamailzia kila la kheri.
mkuu hii biashara kama utakuwa makini itakutoa aisee mimi mwenyewe niko mbioni kuifanya kuna mambo mambo tu nayamailzia kila la kheri.