Nahitaji kufungua ofisi ya kutoa mikopo midogo midogo kwa wafanyabiashara

Chrix_Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
880
Reaction score
1,100
Hello wana jf wenzangu. Nahitaji kufungua ofisi ya kutoa mikopo midogo midogo kwa wafanyabiashara waliopo mkoa naoishi. Je ni taratibu zipi natakiwa nifuate ili kukamilisha ofisi yangu bila kusumbuliwa na serikali na kuharibu sheria ya nchi yetu.
 
Nimeelewa mkuu naupitia uzi kwa makini sana ila nimepata contact zenu tayari nitawatafuta zaidi kwa msaada
 
Hello wana jf wenzangu. Nahitaji kufungua ofisi ya kutoa mikopo midogo midogo kwa wafanyabiashara waliopo mkoa naoishi. Je ni taratibu zipi natakiwa nifuate ili kukamilisha ofisi yangu bila kusumbuliwa na serikali na kuharibu sheria ya nchi yetu.
mkuu hii biashara kama utakuwa makini itakutoa aisee mimi mwenyewe niko mbioni kuifanya kuna mambo mambo tu nayamailzia kila la kheri.
 
Riba haramu
 
Hii biashara inakutoa kama una roho ya unyanganyi, ni biashara inayohitaji uwe na roho ya Unyama.

Vinginevyo unafeli ndani ya mwaka wa kwanza tu.
 
mkuu hii biashara kama utakuwa makini itakutoa aisee mimi mwenyewe niko mbioni kuifanya kuna mambo mambo tu nayamailzia kila la kheri.

Hiki kitu nilikua nafikilia kwa muda mrefu sana ila nilikua nakwama kufikia malengo kutokana na mtaji... Ila sasa naona wakati umefika wa kufanya kile nilichokusudia kwa miaka michache iliyopita... Jitahidi sana mkuu nakuombea na ww ufanikiwe ktk lengo ulilojiwekea acha tuanze mapambano
 
Riba haramu

Unapopambana na maisha haya ya sasa ukiangalia vitu kama hivyo utafeli mkuu na ingekua haramu serikali isingetoa vibali.... haramu tamu pia
 
Back
Top Bottom