hello guyz, nahitaji kufungua salon ya kike katika mji wa MOSHI, plan yangu pia ni iwe pia inatoa huduma za bidhaa mbali mbali related na solon ya kike, ombi langu ni kutaka kujua kutoka kwa watu wazoef ni changamoto gani ninaweza kumbana nazo na utatuzi wake ukizingatia mimi ni kijana wa kiume,single,na mwajiriwa.