Nahitaji kufungua Tigo Shop

Nahitaji kufungua Tigo Shop

KIJANA2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
466
Reaction score
201
Habari wana JF, naomba kufahamishwa ni taratibu zipi nizifuate ili niweze kufungua Tigo Shop, location ya biashara ni Dar es salaam, pia mtaji wa kutosha upo kukamilisha mahitajio yote kuanzia nyumba, vifaa (computer, meza nk), training. Kwa anayefahamu naomba anifahamishe hapam au ani pm. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Kaka nenda makao makuu ya Tigo yapo Makumbusho Kijitonyama ...nadhani utapewa maelekezo yote,,lakini sina uhakika kama Tigo wanatumia franchise model kwenye maduka yao ,,ila kiuhakika nenda kaulizie mwenyewe .
 
Tigo hawafanyi franchiziiiii ila voda ndio wanafanya unadeposit capital ya 50milions then unawaonyesha location wakiikubali wanakufungia soft ware zao na design

Nawakilisha
 
Sasa kwa hawa waliofungua tigo shop wamefunguaje kaka
 
Karibia Tigo shop zote zinamilikiwa na Tigo wenyewe.Lakini wafanyakazi wanaotoa huduma wengi wao wameoutsource kwenye kampuni nyingine...
 
Sasa nafanyaje ili niweze kufungua hiyo huduma ya tigo shop?
 
Back
Top Bottom