KIJANA2013
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 466
- 201
Habari wana JF, naomba kufahamishwa ni taratibu zipi nizifuate ili niweze kufungua Tigo Shop, location ya biashara ni Dar es salaam, pia mtaji wa kutosha upo kukamilisha mahitajio yote kuanzia nyumba, vifaa (computer, meza nk), training. Kwa anayefahamu naomba anifahamishe hapam au ani pm. Natanguliza shukrani zangu za dhati.