Nahitaji Kuishitaki CWT

0683736752

Member
Joined
Nov 5, 2019
Posts
8
Reaction score
1
Ndugu wanasheria naomba kujua, kutokana na ripoti ya CAG ndani ya chama cha walimu CWT aliibua madudu mengi, naomba kujua nahitaji kufungua kesi dhidi ya CWT mashitaka yangu yanapaswa yaweje na ni mahakama ipi inatakiwa kupeleka kesi hiyo?
 
Kwani mkuu umekosa kazi yakufanya? Mpaka uanze kushinda mahakamani.
 
Ni haki yake fuata utaratibu ikiwemo kupata mshauri wa maswala ya sheria ili kuishitaki. Kujipanga kiuchumi pia ni nzuri
 
Mshtakie mungu kwanza kuhusu maisha yako,I mean pambana na hali yako ukishinda kesi dhidi ya maisha yako hiyo CWT haitakuwa na tuhuma yoyote kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…