0683736752
Member
- Nov 5, 2019
- 8
- 1
Ndugu wanasheria naomba kujua, kutokana na ripoti ya CAG ndani ya chama cha walimu CWT aliibua madudu mengi, naomba kujua nahitaji kufungua kesi dhidi ya CWT mashitaka yangu yanapaswa yaweje na ni mahakama ipi inatakiwa kupeleka kesi hiyo?