Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko mkuu?Nimetumia 12M kujenga 2 rooms moja ikiwa master, public toilet, jiko na sebule lakini nimeishia kuweka bati, milango na madirisha Mkuu. Unaweza kupata picha hapo
Mbezi mkuuWapi huko mkuu?
Mbona jamaa yangu kajenga kama wewe kwa 6M na kahamia kabisa?
Ila madirisha ni ya nyavu!!
Angewekaa vioo ingefika 8M
Inakuaje gharama ikawa kubwa hivyo?Mbezi mkuu
Wakati mwingine unaweza ukaona ni rahisi lakini ukiingia site gharama zinabadilika sana.Inakuaje gharama ikawa kubwa hivyo?
Jamaa huyo kajenga huko kanda ya ziwa cement ni 18k mfuko.
Ila mi nataka nijenge Chumba na sebule kikali, bajeti km 10M hv
Kweli mkuu!!Wakati mwingine unaweza ukaona ni rahisi lakini ukiingia site gharama zinabadilika sana.
Kuna vitu kadhaa ambavyo vinapandisha gharama kama vile eneo unalojenga ni tambarare au mlimani. Hapa naongelea gharama za foundation na nguzo.
Umbali was sehemu unapochukulia material na bei ya material.
Kikubwa cha kuzingatia uwe na Fundi mzuri na asikosee kukupigia mahesabu ya vifaa
Huna familia mkuuInakuaje gharama ikawa kubwa hivyo?
Jamaa huyo kajenga huko kanda ya ziwa cement ni 18k mfuko.
Ila mi nataka nijenge Chumba na sebule kikali, bajeti km 10M hv
Hapo kwenye mchanga itagemea pia kiwanja ni tambarare au mwinukoUtafika level ya pagala hadi linta,utaongeza tena kama 8 nyingine ili uhamie.
-Matofali =1800 (1.8m)
-Gharama ya Ufundi (1500 +600 =2100 x 300 =630,000)
-Kuchimba Msingi (Laki 1)
-Cement Mifuko 60 (60 x 14000 =840,000/=)
-Mchanga Mende 1 (250,000/=)
-Kokoto 1 (130,000/=)
-Lintel gharama(Nondo 30 na Mifuko 6 ya cement = 700,000)
Hapo Juu hadi linta una kama 5m hivi.
Kokoto ya wap hyo laki na 30,, kwenye fuso au canterUtafika level ya pagala hadi linta,utaongeza tena kama 8 nyingine ili uhamie.
-Matofali =1800 (1.8m)
-Gharama ya Ufundi (1500 +600 =2100 x 300 =630,000)
-Kuchimba Msingi (Laki 1)
-Cement Mifuko 60 (60 x 14000 =840,000/=)
-Mchanga Mende 1 (250,000/=)
-Kokoto 1 (130,000/=)
-Lintel gharama(Nondo 30 na Mifuko 6 ya cement = 700,000)
Hapo Juu hadi linta una kama 5m hivi.
Iyo itatosha kujenga 1 master na sitting room na jiko la kiskaji kama hiiWakuu nimejichanga nimefanikiwa kukusanya miilliomn 7 , nna kiwanja kibaha ,naomba ushaur kwa million 7 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu ,choo na sebule. mwenye mwazo ya bajeti hii na aina ya nyumba naomben mtazamo wenu.
Mkuu tofali fafanua kidogoUtafika level ya pagala hadi linta,utaongeza tena kama 8 nyingine ili uhamie.
-Matofali =1800 (1.8m)
-Gharama ya Ufundi (1500 +600 =2100 x 300 =630,000)
-Kuchimba Msingi (Laki 1)
-Cement Mifuko 60 (60 x 14000 =840,000/=)
-Mchanga Mende 1 (250,000/=)
-Kokoto 1 (130,000/=)
-Lintel gharama(Nondo 30 na Mifuko 6 ya cement = 700,000)
Hapo Juu hadi linta una kama 5m hivi.