Nahitaji kujenga nyumba Kibaha bajeti milioni 7

Nahitaji kujenga nyumba Kibaha bajeti milioni 7

Wapi huko mkuu?
Mbona jamaa yangu kajenga kama wewe kwa 6M na kahamia kabisa?
Ila madirisha ni ya nyavu!!
Angewekaa vioo ingefika 8M
Bro inategemea jinsi unavyotaka nyumba yako iwe imara,wengine hiyo budget ya jamaa 7mill ilikuwa haitoshi hata kumalizia msingi.

Ushauri wangu kwa mdau aende mdogo mdogo aanze kwanza msingi then apandishe taratibu taratibu haya mambo ya unaingia site kichwani ukiwa na picha ya nyumba iliyokamilika wakati hela yenyewe ndogo itaku-cost maana utataka ubane pesa ili lengo litimie na utashangaa zaidi pale nyumba unafunga lintel juu huku chini msingi unapasuka.

Sasa fundi akikukokotolea hesabu za kurudi chini ukaimarishe kwanza msingi ndo ukaendelee tena juu hapo ndipo mwanzo wakukata tamaa na kuanza kurusha pics mitandaoni kutafuta wanunuzi wa pagale lako.
 
poapoa karamani hata PM basi,, najua ulitoa ela,, plz kama hutojali
Kwa leo nipo nayo mbali ila kwa nyuma inaonekana hivi
20180528_123847.jpg
 
Wakuu nimejichanga nimefanikiwa kukusanya miilliomn 7 , nna kiwanja kibaha ,naomba ushaur kwa million 7 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu ,choo na sebule. mwenye mwazo ya bajeti hii na aina ya nyumba naomben mtazamo wenu.
Anaepajua kwa mzee kashindye aje pm
 
DAH MAN SINA NYUMBA BADO WALA GARI BADO ILA NAJITEGEMEA NA NINA KIWANJA BUT UNAJENGAJE NYUMBA NA ELA YA GARI WEWE BRO ONGEZA ENDELEA KUCHANGA WALAU IFIKE 15M UTAJENGA NYUMBA NZURI KAMA HIO KOMAAA CHANGA AU JAMANI EEEH TUFANYENI HARAMBEEE HAPA KWA JAMAA SI MNACHANGIAGA MAHARUSI hahaha BASI LEO TUTIMIZE NDOTO YA HUYU BRAZA AU SISTA AMEFIKA NUSU YA SAFARI YAKE YA NYUMBA TAJWA BADO MILIONI NGAPI NI 8M TUMFANYIENI MCHANGO????? alafuu wewe next time maybe
Wakuu nimejichanga nimefanikiwa kukusanya miilliomn 7 , nna kiwanja kibaha ,naomba ushaur kwa million 7 naweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu ,choo na sebule. mwenye mwazo ya bajeti hii na aina ya nyumba naomben mtazamo wenu.[/QUOTE
 
DAH MAN SINA NYUMBA BADO WALA GARI BADO ILA NAJITEGEMEA NA NINA KIWANJA BUT UNAJENGAJE NYUMBA NA ELA YA GARI WEWE BRO ONGEZA ENDELEA KUCHANGA WALAU IFIKE 15M UTAJENGA NYUMBA NZURI KAMA HIO KOMAAA CHANGA AU JAMANI EEEH TUFANYENI HARAMBEEE HAPA KWA JAMAA SI MNACHANGIAGA MAHARUSI hahaha BASI LEO TUTIMIZE NDOTO YA HUYU BRAZA AU SISTA AMEFIKA NUSU YA SAFARI YAKE YA NYUMBA TAJWA BADO MILIONI NGAPI NI 8M TUMFANYIENI MCHANGO????? alafuu wewe next time maybe
good
 
Daa ujenzi hauhitajia haraka. Kwa upande wangu nashauri kama ni pesa zetu hizi za kuungaunga ni bora kujenga taratibu. Nimeanza ujenzi wa nyumba yenye vyumba vya kulala 4 +dinning, sitting, store, na jiko. Nimejenga msingi na kuleta tofari halafu nimetengeneza dirisha imekatika m8 na point. Sasa kwako inategemea na ukubwa wa nyumba unayotaka kuijenga. Lakini mwisho wa yote kwa mtazamo wangu m7 haiwezi kumaliza KUJENGA nyumba
 
Uzuri wake ujenzi ni kitu endelevu na sio lazima umalize kwa wakati uliojipangia endapo mambo hayajaenda sawa. Ila kwa milioni saba sio rahisi kumaliza nyumba (hasa ya vyumba hivyo ulivyosema) . Unaanzisha tu kisha unaendelea mdogo mdogo hadi itakapokamilika
 
Back
Top Bottom