goldenball
Member
- Jul 30, 2014
- 65
- 23
Habari wadau,
Kama heading hapo juu inavyosema, nahitaji kujifunza lugha ya kichina kwa malengo maalum. kwa kuzingatia ukweli kuwa wachina wanaelekea kukamata uchumi wa afrika kama sio dunia.
So kwa mtazamo huo wa mbali lengo mojawapo kwa mwaka huu ninakusudia kuongeza lugha ya kichina katika cv yangu.actually certification katika fani yangu pia zitahusika.
Kwa heshima na taadhima, kama kuna mdau anafahamu chuo cha namna hiyo kwa hapa Dar es salaam naomba anijuze.
Natanguliza shukrani.