Nahitaji kujifunza Kichina hapa Dar es Salaam

Nahitaji kujifunza Kichina hapa Dar es Salaam

goldenball

Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
65
Reaction score
23
Habari wadau,

Kama heading hapo juu inavyosema, nahitaji kujifunza lugha ya kichina kwa malengo maalum. kwa kuzingatia ukweli kuwa wachina wanaelekea kukamata uchumi wa afrika kama sio dunia.

So kwa mtazamo huo wa mbali lengo mojawapo kwa mwaka huu ninakusudia kuongeza lugha ya kichina katika cv yangu.actually certification katika fani yangu pia zitahusika.

Kwa heshima na taadhima, kama kuna mdau anafahamu chuo cha namna hiyo kwa hapa Dar es salaam naomba anijuze.
Natanguliza shukrani.
 
UDSM wanafundisha hiyo lugha.

Ukishindwa nitafute (kwa kutuma msg inbox) nikuuzie DVD maalum ya kujifunza KICHINA toka lugha YOYOTE, siyo kama zinazouzwa mtaani.
 
UDSM wanafundisha hiyo lugha.

Ukishindwa nitafute (kwa kutuma msg inbox) nikuuzie DVD maalum ya kujifunza KICHINA toka lugha YOYOTE, siyo kama zinazouzwa mtaani.
mkuu samahani naomba maelezo ya ziada,inatolewa kwa muda gani hadi kumaliza?naweza join darasa la jioni?gharama zake ziko vipi kwa kozi nzima?natanguliza shukrani mkuu.
 
Back
Top Bottom