goldenball
Member
- Jul 30, 2014
- 65
- 23
mkuu samahani naomba maelezo ya ziada,inatolewa kwa muda gani hadi kumaliza?naweza join darasa la jioni?gharamazake ziko vipi kwa kozi nzima?natanguliza shukrani mkuu.karibu pia DUCE kozi hiyo inatolewa
mkuu samahani naomba maelezo ya ziada,inatolewa kwa muda gani hadi kumaliza?naweza join darasa la jioni?gharama zake ziko vipi kwa kozi nzima?natanguliza shukrani mkuu.UDSM wanafundisha hiyo lugha.
Ukishindwa nitafute (kwa kutuma msg inbox) nikuuzie DVD maalum ya kujifunza KICHINA toka lugha YOYOTE, siyo kama zinazouzwa mtaani.