Nahitaji kujifunza kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha

Nieleze kwa kina mkuu

Mkuu tuanzie hapa
Niandikie hayo maneno ungesomaje au ungetamkaje?

Saw-
Law-
Author-
Audition-

Nilichokisema hapo ni kwamba kila ukiona neno unajua linatamkwanje (unajua sound ya hilo neno)kutokana na kueopo na kitu gani kwenye hilo neno.

Kwa maana hiyo utajua kila neno linasomekaje na kumjua huyu anajua au hajui kingereza kwa namna alivyotamka hayo maneno.

Nijibu hapo juu tuendelee utanielewa.
 
So,
Lo,
Outha,
Oudishen
 
So,
Lo,
Outha,
Oudishen

Hapo umesoma so Kwa sababu ya aw ,aw hiyo ni o, ndio maana kwenye lo pia ukasema hivyo hivyo Kwa sababu ya aw.

Kwenye neno hili pia ungesema hivyo hivyo awesome hapo aw ingekuwa o.awful pia aw hapo ni O.

Kwenye maneno mengine hapo umekosea (au )hapo ni o , ulitakiwa useme otha na odisheni na sio (ou) hizo ndio zinatoa sound ya neno ukikosea hapo mtu anapata shida kukuelewa na atajua huwezi kingereza.

Neno August hapo ungesema ogasti.(au)ni (o)hapo.

Applaud kwenye au hapo unaweka O.

Hapo ndio nilikuwa na maanisha ukijua hizo sound utajua kusoma kila neno na kulitamka .
 
Thanks a million Ladder 49
 
Upo vizuri ngoja nikutafute
 
Back
Top Bottom