Nahitaji kujifunza Martial Art

Nahitaji kujifunza Martial Art

Kuna zile stori kwamba siku ya kwanza unaambiwa upige push up mia tatu 😂
🤣🤣
Ni za uongo na kutishana tu....

Hata kama mwanafunzi ataweza kupiga idadi hiyo unategemea nini kwenye mwili wake....unaweza kusababisha LIGAMENTS ,TENDONS na MUSCLES kuchanika na kusababisha ulemavu......

Usisahau pia kuwa nyingi ya "Push ups" za martial arts zinapigwa sana kwa "nakoz mbili za kidole cha shahada na cha kati" ...sasa imagine hivyo vifupa vya viganja na hata mfupa wa "Radius" na "Ulnar" utakuwaje?!!! 🤣🤣

Mazoezi ni jambo la kuanza kidogokidogo "as practice makes perfect"👍
 
Kwa wanaohitaji kujifunza Martial arts,
Self - defence
Wanaweza kunicheki

Tuma neno "Martial arts"
0693322300

Uwe Dar es salaam.

Dojo lipo Upanga karibu na ubalozi wa uswizi,
Jingine Mikocheni Pale Azura.

Tsh 15,000 Kwa kipindi,
Kwa mwezi 140,000/=
Kipindi ni sh 15,000? Una Dan mbili?
 
Acha ugomvi kwanza,
martial arts zipo nyingi sana, ila kama hutaki kupoteza muda piga kick boxing au muay thai... Very offensive and deadly

karate inahitaji program ya kuanzia 4 to 6 months ya awali kitu ambacho wengi huishia njiani wanakimbia.

kick boxing na muay thai hazina mlolongo wa kata kama karate kikubwa kujituma, unawewa kuwa poa kuanzia 1 to 4 months unakarisha 2 to 4 unarmed men (ordinary).
 
Kwa wanaohitaji kujifunza Martial arts,
Self - defence
Wanaweza kunicheki

Tuma neno "Martial arts"
0693322300

Uwe Dar es salaam.

Dojo lipo Upanga karibu na ubalozi wa uswizi,
Jingine Mikocheni Pale Azura.

Tsh 15,000 Kwa kipindi,
Kwa mwezi 140,000/=
Me nitakutafuta mkuu maana saiv naona bila kuwa na uwezo wa kujilinda sasa kuna hatari zaid huku tuendako... sema mimi nina mikwara ya vitendo ukija vibaya na mafunzo yako utajuta.

Me huwa sipigani ngumi na mtu,, mtu akinizingua nikiona tunaelekea kupigana kabisa huwa najiham na silaha yoyote iliyo karibu.
 
Hata hivyo utafundishwa kujizuia maana unafundishwa kujilinda
 
Hata hivyo utafundishwa kujizuia maana unafundishwa kujilinda
Yes, kifupi atakuwa ni mwepesi wa kuepuka ugomvi, hii wengi tuliopitia Martial Arts huwa tunakuwa nayo, sio rahisi kugombana na mtu mpaka muanze kupigana

Ila ikitokea kama umekatiza chocho za uswazi kisha jamaa wakakuletea zengwe wakupige mali zako ndo utawashushia kichapo
 
😂😂😂😂😂😂..nimecheka Mimi jamani..
Pole mwaya
 
Kwa wanaohitaji kujifunza Martial arts,
Self - defence
Wanaweza kunicheki

Tuma neno "Martial arts"
0693322300

Uwe Dar es salaam.

Dojo lipo Upanga karibu na ubalozi wa uswizi,
Jingine Mikocheni Pale Azura.

Tsh 15,000 Kwa kipindi,
Kwa mwezi 140,000/=
Mnafundisha mchezo gani?
 
Acha ugomvi kwanza,
martial arts zipo nyingi sana, ila kama hutaki kupoteza muda piga kick boxing au muay thai... Very offensive and deadly

karate inahitaji program ya kuanzia 4 to 6 months ya awali kitu ambacho wengi huishia njiani wanakimbia.

kick boxing na muay thai hazina mlolongo wa kata kama karate kikubwa kujituma, unawewa kuwa poa kuanzia 1 to 4 months unakarisha 2 to 4 unarmed men (ordinary).
sema sasa kuwapata waalimu wa hizi mambo kwa huku mkoani inakuwa shida balaa.,.
 
Wasalaaaaam wazee.

Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipenda kujifunza sanaa za mapigano.

Sasa wadau naamini humu kuna wakongwe na wajuzi wa mambo haya mnaweza kunipa ushauri...

Je ni sanaa ipi ya mapigano iko strong kwa maana ya self defence, sihitaji kuwa mkorofi ila mtu akijichanganya vibaya hilo pigo atakalopewa akasimulie ukoo wao wote.

Nipo Mbeya. Kwa wanaojua mkoa wa mbeya mafunzo hayo nitayapata wapi naomba anijuze.

Kuna ishu iliniitokea juzi siku ya iddi mosi, nikaenda pub moja hivi matata sana kwajili ya kupata ulabu na mbuzu choma kidogo

Sasa nikiwa mule ndani kuna jamaa mmoja tukazinguana vikali tu nikasimama kwajili ya mpambano maana naye alionesha wazi anataka tupigane.....nikajipanga mkao wa vita sasa...... Eebwanaeeee nilikula pigo moja hivi la ajabu kisha akanimalizia na teke moja hivi nikaona sasa huyu simuwezi maana anaonekana anamafunzo ya kupigana wakati mimi sina. Nikataka kumtwisha chupa la kvant wadau wakaja kuzuia pale.

Na mimi nataka kujua kupigana maana sasa tunakoelekea sio kuzuri.
Ohhhh ndio wewe ungethubutu kunipiga chupa kazi ungeiona
 
Nipo songea naomba connection pia Kwa hapa songea mjini.... Kukaa kizembe sio poa aloo..

Naipenda Sana Ile style ya wing chung ila sijui bongo hii kama kuna walimu ..
 
wakifika secondary, nikijaaliwa uzima
Wapeleke wakiwa wadogo Kama unataka kweli wawe wa moto, hii itasaidia kuwapunguzia maumivu. Ila akiwa mkubwa Kuna mawili, atapitia maumivu makali mpaka kuwa mtu hatari zaidi au ataishia tu kuwa hawa wanaomiliki black belt na kutamba mitaani.
 
Back
Top Bottom