Nahitaji kujua bei ya kukodi Noah kutoka Dar hadi Arusha

Nahitaji kujua bei ya kukodi Noah kutoka Dar hadi Arusha

Nadhani bei ni maelewano kulingana na m'miliki anatakaje. Kuna watu gari zao zimepaki tu hazina matumizi so anaweza kukupatia bila shida kwa bei muafaka.
 
Back
Top Bottom