Ningependa kufahamu faida za kununua shares kwa sababu natamani kununua lakini sielewi vizuri nafaidika nazo vipi hasa hasa kwenye mfuko wa Umoja UTT na SWALA.