Nahitaji kujua faida za kununua Hisa (Mfuko wa Umoja UTT na SWALA)

Nahitaji kujua faida za kununua Hisa (Mfuko wa Umoja UTT na SWALA)

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Habari wana jf,

Ningependa kufahamu faida za kununua shares kwa sababu natamani kununua lakini sielewi vizuri nafaidika nazo vipi hasa hasa kwenye mfuko wa Umoja UTT na SWALA.

Mawazo yenu ni ya muhimu sana kwangu.
 
Back
Top Bottom