Nahitaji kujua gharama ya madirisha ya grill

dayyan

Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
41
Reaction score
36
Nahitaji kujua gharama ya madirisha ya grill. Nyumba ina madirisha 9 6×6 yapo (2) the rest ni 4x4 (7)

Msaaada jamaniii
 
Nahitaji kujua gharama ya madirisha ya grill. Nyumba ina madirisha 9 6×6 yapo (2) the rest ni 4x4 (7)

Msaaada jamaniii
Okoa gharama: Mtafute fundi akufanyie estimations za chuka (kama ni nondo, flat bars au bomba).Mnunulie fundi sticks za kuchomea then fundi mlipe utaalamu wake tu. Utanishukuru. Mimi niliokoa zaidi ya shilingi laki 8 kwa njia hiyo
 
Na mashine atamnunulia?
 
Na ulitumia kiasi gani?
 
Aseee walinipiga 190k
Pole sana Mkuu,
Kwenye ujenzi tunapigwa sana Kwa kutokujua machimbo mbalimbali yenye bidhaa nafuu za Ujenzi. Niliwaza nianzishe uzi tusaidiane labda.

Mimi naomba kujua gharama ya kufix grill kwenye dirisha la ukubwa wa kawaida
 
Mimi naomba kujua gharama ya kufix grill kwenye dirisha la ukubwa wa kawaida
Cjui uliko ila mara nyingi ni 10000_15000 kwa kila dirisha. Kama Yako mengi mnapatana tu
 
Dalali na kutengeneza wapi na wapi. Unamuongezea mtu gharama kisa tu tamaa zako. Wewe sio fundi wala huna ofisi ya kuuza anachotaka
We jamaa utakua umenifananisha nadhan, mie dalali wa Nini? Nilishawahi kukudalalia Nini? Au wapi nimesema Nina ofisi? Mimi ni mteja nilieko kwenye ujenzi muda huu.

Nilichopitia mimi naweka hapa ili kama kuna mwenye ataona nafuu kwake nae apitie hapo. Naweka number za fundi au muuzaji directly, sio za kwangu na hata sirudi tena kumuuliza kama amepata mteja kwani ni ninamsaidia tu mnunuzi au muuzaji.

Usipende kufananisha watu mitandaoni, itakuja kukugharimu one day.
 
Bandiko lako ile picha yenye account ya fb ipo kwenye group la madalali mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…