Nahitaji kujua gharama ya madirisha ya grill

Nahitaji kujua gharama ya madirisha ya grill

Yule ni fundi alienitengenezea madirisha. Labda hilo group ni lake ama sijui vip lakin nilienda kwa Facebook yake nikachukua ile picha kumsaidia kumtangaza.

Hata wewe uki search Facebook Bakari Kondo Manolo utamuona.
SAuwa mkuu
 
Back
Top Bottom