Nahitaji kujua gharama ya ushuru kwa gari aina ya lST

sherberry

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
306
Reaction score
364
Habari ndugu zangu,
Mimi kama nilivoeleza hapo juu , nina ndugu yangu anataka kuniagizia gari aina ya IST ya mwaka 2011 kutoka japan , sasa nilikua nahitaji kujua gharama ni kiasi gani kulitoa bandarin mpaka linifikie natakiwa niwe na bei gani.au kama kuna mtu ana link itakayoniwezesha kuangalia nitashukuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili li nchi Kama tuko utumwani Yani kodi inazidi Bei halisi ya bidhaa.

Ma.maeeeee
Naamini, serikali itakuja kukaa chini na kupitia upya .. bila shaka watarejebisha

Kuna watu wenyewe kazi yao ni kusaidia kulipia watu ushuru, na anarejeshewa kwa awamu mbili.

Maana unakuta, kuna muda mtu anakua na pesa ya kuagizia tu gari, ila ya kulipia ushuru hana.
 
Haitakuja kutokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…