Duniatunapita man
Senior Member
- May 5, 2024
- 181
- 252
Nenda Sido,Lakini ushauri mwingine ni kusaga na kusindika unga itafaa zaidi,utakuja kunishukuruHabari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato. Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama za uendeshaji K.V kodi za TRA, umeme, service n.k,. Pia vyanzo vya hasara na faida yake,. Eneo ni mkoani (Songea).
Nenda Sido,Lakini ushauri mwingine ni kusaga na kusindika unga itafaa zaidi,utakuja kunishukuruHabari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato. Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama za uendeshaji K.V kodi za TRA, umeme, service n.k,. Pia vyanzo vya hasara na faida yake,. Eneo ni mkoani (Songea).
Mkoa wa RuvumaUko mkoa gani kwanza? Tuanzie hapo.
Mkuu Kusindika unga unamaanishaje?Nenda Sido,Lakini ushauri mwingine ni kusaga na kusindika unga itafaa zaidi,utakuja kunishukuru
Ok,mimi nimefanya hiyo biashara, huu ndio mchango wangu:Mkoa wa Ruvuma
Kusindika uwe na mtaji mkubwa ili uione faida yake.Yaani uwe na mitaji mitaji miwili au mitatu.Maana unqsambqza kwa mqli kauli, unga unauzwa na baada ya aiku kadhaa wewe unapewa hela yako.Ila malighafi hawakopeshi unatakiwa kulipa cash pqmoja na usafiri.otherwise kwa dar faida inapatikana kwa kuuza pumba baada ya kukoboa.Nenda Sido,Lakini ushauri mwingine ni kusaga na kusindika unga itafaa zaidi,utakuja kunishukuru
Umeshafeli tayariMkoa wa Ruvuma
Hawa mafundi nawahitaji, nataka nitafute location niweke hii kituHz ngoma used ni ngumu kuzipata maana ni biashara isiyo kuwa na mapicha picha,hvyo kupata mtu anaiuza ni ngumu
diesel engine mpya ni kama 1,300,000,used mpaka za laki 5 zipo...
Inategemea mkuu,kama anataka kwaajili ya biashara ya unga,unachosema kina ukweli kwa kiasi flani lakini kama kwa ajili ya biashara ya kuwagia wananchi,ruvuma atatoboa maana wananchi wana mahindi ya kutosha.Mimi moja ya mashine ipo mkoa wanaozalisha sana mahindi na biashara ni nzuri.Umeshafeli tayari
Mikoa mizuri kwa biashara hiyo ni majiji makubwa kama Dar
Amesema auze na rejareja haitamlipaInategemea mkuu,kama anataka kwaajili ya biashara ya unga,unachosema kina ukweli kwa kiasi flani lakini kama kwa ajili ya biashara ya kuwagia wananchi,ruvuma atatoboa maana wananchi wana mahindi ya kutosha.Mimi moja ya mashine ipo mkoa wanaozalisha sana mahindi na biashara ni nzuri.
Kama ana mtaji auze ila kama ni kuunga unga aweke vijijini huko hakosi 30k-60k kwa siku.Amesema auze na rejareja haitamlipa
Ni kwaajili ya kukoboa na Kusaga TU, kwasasa Sina mtaji wa kuuza , labda baadaeKama ana mtaji auze ila kama ni kuunga unga aweke vijijini huko hakosi 30k-60k kwa siku.
Bei ya 15hp, 20hp na hiyo 25hp Kwa dar es salaam inaweza kua kiasi gani!?Ok,mimi nimefanya hiyo biashara, huu ndio mchango wangu:
1.Kufanikiwa kwa biashara kunategemea na uwepo wa mahindi wa watu wa eneo unalofanyia biashara.
2.Sido wana bei sana,kama utapata fundi mzuri wa mtaani akutengenezee vinu vyote viwili (kusaga na kukoboa) hutajutia.
3.Unaweza kutumia mota moja kwa vinu vyote viwili(hapa iwe kuanzia 25hp) au ukanunua ya kukoboa kuanzia 15hp na kusaga 20hp.
4.Mota agiza dar au nunua huko huko ingawa dar ni bei chini kidogo.
4.Kuhusu faida:Mashine ni moja ya biashara zisizo na stresi na faida kubwa sana ukipatia eneo.
Uliza nikujibu kile ninachokijua.
Kwa dar 15hp ni 750k-800k, kwa 20hp ni 1m-1.2m, kwa 25hp ni 1.2m-1.5m inategemea umeenda duka gani.Bei ya 15hp, 20hp na hiyo 25hp Kwa dar es salaam inaweza kua kiasi gani!?
Kama huna mtaji uwe unawasagia wananchi nayo inalipa sana,sema chagua eneo lenye watu wengi na mashine chache.Ni kwaajili ya kukoboa na Kusaga TU, kwasasa Sina mtaji wa kuuza , labda baadae
Usimkatishe tamaa, Ruvuma inalisha unga wa mahindi mikoa ya mtwara na lindi, japokuwa wanaofnaya hizo biashara wana mitaji mikubwa.Umeshafeli tayari
Mikoa mizuri kwa biashara hiyo ni majiji makubwa kama Dar