Nahitaji kujua kama jiwe hili lina dhahabu

Nahitaji kujua kama jiwe hili lina dhahabu

magasi jnr

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2017
Posts
364
Reaction score
560
Jamani msaada, nahitaji kujua kama jiwe hili kwenye (picha hapo chini) kama lina dhahabu.

Naomba kuwasilisha.


IMG_20210428_164030.jpg
 
Mambo vp?ungekuwa mzoefu kiasi ktk Kiwanda cha madini ungeona kitu,ila unaweza kufanya ukatambua Mara zote tunaona copper/zinc tu najua ni dhahabu.ulizia sehemu uliyopo wanapo pima sample huwa inachezea elfu 30-50 sana sehemu nyingi ni elfu 30 wakuangalizie Au,Cu,sulphur utajua sehemu uliyotoa kipo au hakipo.
 
Back
Top Bottom