Nahitaji kujua kama jiwe hili lina dhahabu

Nahitaji kujua kama jiwe hili lina dhahabu

Mambo vp?ungekuwa mzoefu kiasi ktk Kiwanda cha madini ungeona kitu,ila unaweza kufanya ukatambua Mara zote tunaona copper/zinc tu najua ni dhahabu.ulizia sehemu uliyopo wanapo pima sample huwa inachezea elfu 30-50 sana sehemu nyingi ni elfu 30 wakuangalizie Au,Cu,sulphur utajua sehemu uliyotoa kipo au hakipo.
Shukran kwa mchango wako mkuu
 
Iyo Ni kokoto tuh
Jikite kwenye kuchapa kazi
Hivi nini maana ya kuchapa kazi, kwani kulitafta hilo jiwe sio kuchapa? Na je vipi iligundulika kuwa ndani ya hilo jiwe dhahabu tutamwita jamaaa mvivu? Tatizo wabongo tumeaminishwa kazi ni kilimo na ualimu basi.
 
Back
Top Bottom