Nahitaji kujua kama jiwe hili lina dhahabu

Shukran kwa mchango wako mkuu
 
Iyo Ni kokoto tuh
Jikite kwenye kuchapa kazi
Hivi nini maana ya kuchapa kazi, kwani kulitafta hilo jiwe sio kuchapa? Na je vipi iligundulika kuwa ndani ya hilo jiwe dhahabu tutamwita jamaaa mvivu? Tatizo wabongo tumeaminishwa kazi ni kilimo na ualimu basi.
 
Huwezi kujua kwa kuliangalia tu...nenda GST au ofisi ya madini kanda huko ulipo, ni mpaka lifanyiwe vipimo.
Na wabongo walivyo wakiona la dhamani wanamgeuka n kumwibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…