Nahitaji kujua kuku wa kienyeji huchukua muda gani kuanzia kifaranga hadi kuwa sahihi kwa kuliwa

man of sun

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
329
Reaction score
460
Mimi ni mkazi wa iringa. Nina mpango wakufuga kuku wa kienyeji lakini nahitaji kufahamu ukuaji wake, yani huchukuwa mda gani kwanzia kifaranga.

Pia kama upo Iringa mjini na unakuku njoo DM tuongee bei nachukua had walio kua na week 5 cash so kingine nahitaji kujua kuhusu kuku zaidi maana nataka nianze hiyo biashara.
 
matunzo unayo wapa ndio mwongozo wako ila kama ukiwalea vizuri ni miezi 6 hadi nane anataga na kupanda kabisa yani
 
Kuku wa kienyeji PURE itakuchukua miezi 8 hadi mwaka kama wapo free range na unawapa surplus food kama pumba, mashudu alzeti nk -

kwa jogoo utamuuza Tshs 10,000 na tetea 8,000 kwa bei ya Iringa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…