man of sun
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 329
- 460
Mimi ni mkazi wa iringa. Nina mpango wakufuga kuku wa kienyeji lakini nahitaji kufahamu ukuaji wake, yani huchukuwa mda gani kwanzia kifaranga.
Pia kama upo Iringa mjini na unakuku njoo DM tuongee bei nachukua had walio kua na week 5 cash so kingine nahitaji kujua kuhusu kuku zaidi maana nataka nianze hiyo biashara.