Nahitaji kujua lilipo shirikisho la mieleka Tanzania

Lone _Wolf

Senior Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
119
Reaction score
84
Habari ya jioni pia Heri ya pasaka wapendwa. Kama kichwa kinavyotaja juu nahitaji mawasiliano ya shirikisho tajwa hapo juu, pia naomba kufahamu makao makuu yao yalipo. Natanguliza shukrani zangu kwa msaada nitakaopata.

Man of the hour.
 
🚶🚶🚶nakuja ngoja nikavute kwanza
 
Haya mambo mengine tuwaachie wenyewe tu huko wazungu.
 
Back
Top Bottom