Lone _Wolf
Senior Member
- Dec 19, 2017
- 119
- 84
Habari ya jioni pia Heri ya pasaka wapendwa. Kama kichwa kinavyotaja juu nahitaji mawasiliano ya shirikisho tajwa hapo juu, pia naomba kufahamu makao makuu yao yalipo. Natanguliza shukrani zangu kwa msaada nitakaopata.
Man of the hour.
Man of the hour.