Lone _Wolf
Senior Member
- Dec 19, 2017
- 119
- 84
๐ถ๐ถ๐ถnakuja ngoja nikavute kwanzaHabari ya jioni pia Heri ya pasaka wapendwa. Kama kichwa kinavyotaja juu nahitaji mawasiliano ya shirikisho tajwa hapo juu, pia naomba kufahamu makao makuu yao yalipo. Natanguliza shukrani zangu kwa msaada nitakaopata.
Man of the hour.
Tatizo ni nini kwani mkuu?Haya mambo mengine tuwaachie wenyewe tu huko wazungu.
Yes mkuu, nahitaji kufungua kabisa promotion ya wrestling kwa Tanzania iwasaidie vijana kama bridge yakufika WWE, AEW, IMPACT, NEW JAPAN PRO WRESTLING, MWA etc.unataka uanzishe match za wrestling's?
Good idea