Nahitaji kujua meditation classes kwa hapa Arusha

Yaani huwezi amini.
Nilipokuwa na shauku ya kujitambua, nilishangaa kuona mtu ananisalimia inbox kwangu /Facebook ambae ndio mwalimu wangu.

aisee hivi vitu n kweli kabisa! wakati naanza kujifunza haya mambo nilishangaa from nowhere rafiki yangu ambaye hatujawasiliaana kwa kipindi kirefu akiniinbox na kuanza kunipa maujuzi ya haya mambo. ni kweli kuwa ukiwa tayari mwalimu anakuja mwenyewe.
 
Ni nini kinachotuunganisha hivo mkuu?
 
Back
Top Bottom