Nahitaji kujua namna ya kufungua Sanduku la Posta

Nahitaji kujua namna ya kufungua Sanduku la Posta

Afisa Mteule Drj 2

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
3,865
Reaction score
4,506
Jf ni sehemu ambayo najua inafikika kwa urahisi na kwa haraka kaliko kufika mpaka mjini kupoteza nauli kwenda ofisi za posta kupata taarifa hizi.

Ninataka kufahamu na namba ya kupata Sanduku la barua lengo sio kuandika barua bali kwa ajili ya kupokea vitu ninavyoagiza.Vitu vya msingi kabisa ninataka kufahamu gharama na huwa linalupiwa kiasi gani sijui kwa mwezi au mwaka.

=====

Pia soma: Gharama na taratibu za kufungua sanduku la posta
 
Ni rahisi, nenda ofisi yeyote ya posta iliyo karibu nawe, utapatiwa fomu, utajaza taarifa zako. Utatakiwa ukabidhi passport zile ndogo kabisa za watu wawili mbili kila mtu, hizo ni kwa ajili ya kitambukisho, watakupa gharama ya hilo sanduku kwa mwaka. Ukisha lipia utapatiwa funguo na kuonyeshwa sanduku lako.
 
Thread Closed!
 
Pitia hapa
 
Me nimefungua juzi kati. Andaa kama Tzs 44,000/= na passport sizes. Utajazishwa form wataingiza kwa mtandao utapata baada ya hapo utapata Box lako na kitambulisho.
 
Back
Top Bottom